WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA
HomeJamii

WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA

Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyem...

SERIKALI YATENGA SH.BILIONI 11 KUKABILI UTAPIAMLO
WAZIRI DKT. MAHIGA AAGANA NA BALOZI WA CHINA DKT. LU YOUQING
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI MAPAROKO WA WILAYA YA RUANGWA NYUMBANI KWAKE OYSTERBAY


Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na wakati waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma. 



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura wakati alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.





Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na baadhi ya wakurugenzi na wakuu wa Taaisi zilizo chini ya Wizara yake wakati alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma. 



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini kwake Mjini Dodoma. 



Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini za Wizara Mjini Dodoma. 



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura. 



Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuzungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof Elisante Ole Gabriel. 




Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu mikakati yake katika kuiongoza Wizara.


Baadhi ya wakurugenzi wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao alipowasilikatika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.

(Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA
WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjz5EvdsUGDqGTLqDxg0bd0WsYWxmBZ_XmSNyvaEsiUlBCCXslv9w3iSv-2yQGxoLCpVedZUngi3ZHwT-06ozHAuk4CXuC9fp8vglrA9pssrdzHdqdRWlcCerrFKtQ7H5zsSQVZXLLhJkM/s640/Pix+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjz5EvdsUGDqGTLqDxg0bd0WsYWxmBZ_XmSNyvaEsiUlBCCXslv9w3iSv-2yQGxoLCpVedZUngi3ZHwT-06ozHAuk4CXuC9fp8vglrA9pssrdzHdqdRWlcCerrFKtQ7H5zsSQVZXLLhJkM/s72-c/Pix+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/waziri-mwakyembe-apokelewa-ofisini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/waziri-mwakyembe-apokelewa-ofisini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy