WANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI WATEMBELEA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA YA SUZA MBWENI
HomeJamii

WANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI WATEMBELEA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA YA SUZA MBWENI

Kaimu Mkuu wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Amina Abdulkadir akizungumza na wanaf...

TGGA YAWAAGA GIRL GUIES WA RWANDA, UGANDA NA MADAGASCAR
UONGOZI MPYA TAGCO WAKABIDHIWA USUKANI
SADC KUENDELEA KUSIMAMIA AMANI KATIKA NCHI WANACHAMA


WANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI WATEMBELEA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA YA SUZA MBWENI
Kaimu Mkuu wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Amina Abdulkadir akizungumza na wanafunzi wauguzi wa Chuo Kikuu cha Wright Jimbo la Ohayo nchini Marekani walipotembelea Skuli hiyo Mbweni  kubadilishana uzoefu.
2
Mwanafunzi Muuguzi kutoka Chuo Kikuu cha Wright nchini Marekani Melissa Vanscoy akieleza lengo la ziara yao hapa Zanzibar  wakati wanafunzi wa vyuo hivyo viwili walipokutana katika Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya SUZA Mbweni.
 3
Wanafunzi wauguzi wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya SUZA  wakibadilishana mawazo na wanafunzi wenzao wa Chuo Kikuu cha Wright kutoka Jimbo la Uhayo Marekani walipowatembelea skulini kwao Mbweni.
 
4
Wanafunzi wauguzi kutoka Chuo Kikuu cha Wright na SUZA wakiwa katika darasa la kufanyia mazoezi ya vitendo wakielekezana namna ya kumuhudumia mgonjwa alielezwa wodini.
5
Picha ya pamoja ya wanafunzi wauguzi wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya SUZA wakiwa na baadhi ya walimu  na wenzao wa Chuo Kikuu cha Wright, Jimbo la Uhayo nchini Marekani wakiwa katika kempasi ya Mbweni.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI WATEMBELEA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA YA SUZA MBWENI
WANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI WATEMBELEA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA YA SUZA MBWENI
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEhALlVT6-t6oUNjgNtq5Wf_XIiX6kMbnVifa29LgPKPvNc7cZthGZ3BqXm4A_VgMCdcd47_bC64_QgI7gXw2TMwSP6dRPSrNIRCNk9anHeYCKP3k8T3kSB4gR7wAmsUQDAUtGTJQuNzj7GtSZFPxFvBAtkFU1uyTWxpC7cC2p5h04Y7gQ=s0-d
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEhALlVT6-t6oUNjgNtq5Wf_XIiX6kMbnVifa29LgPKPvNc7cZthGZ3BqXm4A_VgMCdcd47_bC64_QgI7gXw2TMwSP6dRPSrNIRCNk9anHeYCKP3k8T3kSB4gR7wAmsUQDAUtGTJQuNzj7GtSZFPxFvBAtkFU1uyTWxpC7cC2p5h04Y7gQ=s72-c-d
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wanafunzi-wauguzi-wa-chuo-kikuu-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wanafunzi-wauguzi-wa-chuo-kikuu-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy