TANESCO YATOA TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA KIBAMBA, MBEZI NA KIMARA
HomeJamii

TANESCO YATOA TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA KIBAMBA, MBEZI NA KIMARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Kimara, Mbezi yote na Kibamba yote kuwa, Kumetokea hitil...

MIILI YA ASKARI NANE WALIOUAWA NA MAJAMBAZI MKOANI PWANI YAAGWA RASMI,WAZIRI MWIGULU ATANGAZA KIAMA KWA WATUHUMIWA
JARIDA LA NISHATI NA MADINI TOLEO LA 167
RAIS DKT MAGUFULI ASISITIZA TANZANIA KWANZA, SIASA BAADAE





SHIRIKA la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Kimara, Mbezi yote na Kibamba yote kuwa, Kumetokea hitilafu katika Laini inayosambaza umeme
katika maeneo hayo (NORDIC 1 &2) tangu jana Tarehe 18/03/2017 majira ya saa nane mchana Kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha na kuathiri miundombinu ya umeme
katika maeneo hayo na hivyo kupelekea kukosekana kwa huduma ya umeme kwa wateja wa maeneo hayo.
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
Mafundi walichukua hatua za haraka kurejesha umeme tangu jana na kufanikiwa kurejesha huduma katika maeneo machache. Ili kurahisisha Kazi ya kubaini Hitilafu hiyo,
Mafundi walilazimika kuzima laini zote mbili tena kwa siku ya leo na mpaka Hivi sasa mafundi wetu bado wako mtaani wakiendelea na jitihada za kurejesha umeme katika hali ya kawaida kwa maeneo yote yanayohudumiwa na laini hizi mapema
iwezekanavyo. Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu wowote ule unaojitokeza. Imetolewa na
OFISI YA UHUSIANO TANESCO MAKAO MAKUU



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANESCO YATOA TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA KIBAMBA, MBEZI NA KIMARA
TANESCO YATOA TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA KIBAMBA, MBEZI NA KIMARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7eDIngx4qLcL7he84slqlLZSwvuo9hKeJwrr6wYtUD3ytlQwpSYlgfZ_JIkL_9czZyjYfoXZ47D-v7mit-OeTgNNEOjr7CsE_FoynxMZek28PnWKGrxfbkHjeA6WR-foocFLWtptX5YQ/s640/i000.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7eDIngx4qLcL7he84slqlLZSwvuo9hKeJwrr6wYtUD3ytlQwpSYlgfZ_JIkL_9czZyjYfoXZ47D-v7mit-OeTgNNEOjr7CsE_FoynxMZek28PnWKGrxfbkHjeA6WR-foocFLWtptX5YQ/s72-c/i000.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/tanesco-yatoa-taarifa-ya-kukosekana-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/tanesco-yatoa-taarifa-ya-kukosekana-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy