MHE. LEMA: MADIWANI WA CHADEMA WAOGA NIPO TAYARI KUWAKANA MBELE YA WANANCHI
HomeJamii

MHE. LEMA: MADIWANI WA CHADEMA WAOGA NIPO TAYARI KUWAKANA MBELE YA WANANCHI

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule katika viwanja vya Ngaren...

WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA
SERIKALI: MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO TUMIENI TOVUTI KUTANGAZA MAENDELEO YA WANANCHI
AMOS CHEREHANI ENDORSES LIBE KUWA RAIS WA JUMUIYA DMV


Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule katika viwanja vya Ngarenaro Jijini Arusha Leo.
 
Wapili kutoka kushoto ni mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ,wakwanza kulia ni mbunge wa Simanjiro James OLemilya akifuatiwa na aliyeko kulia kwake ni Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro,akifuatiwa na Wema Sepetu,na wakwanza kulia ni mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Derick Magoma.
 
Mbunge Lema akiwa na Wema Sepetu akisaliamia wananchi wa jiji la leo Arusha
Mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo jijini Arusha.

Na,Vero Ignatus ,Arusha.

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema amefanya mkutano wake wa kwanza kwa kuzungumza na wananchi wa Arusha baada ya kutoika rumande alipokuwa ameshikiliwa kwa miezi minne

Akizungumza katika mkutano huo Lema amesema kuwa madiwani wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema watakao kuwa waoga yupo tayari kuwakana mbele ya wananchi na kama hawawezi kuwa majasiri waachanae na chama hicho. 

Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiwemo madiwani wote wa chama hicho katika jiji la Arusha pamoja na wabunge wa simanjiro na yule wa Monduli.

Aidha mbunge huyo amesema kuwa yupo kwenye harakati za kukamisha kukiandika kitabu chake kitakachotoka hivi karibuni chenye historia ya maisha halisi ya wafungwa waliopo gerezani bila hatia,sambamba na wale waliobambikiziwa kesi mbalimbali.

Ameataka madiwani kuwa sambamba na yeye na kuachana na kauli wanayoisema ya kuwa wapo nyuma yake kwa kila kitu anachokifanya .
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE. LEMA: MADIWANI WA CHADEMA WAOGA NIPO TAYARI KUWAKANA MBELE YA WANANCHI
MHE. LEMA: MADIWANI WA CHADEMA WAOGA NIPO TAYARI KUWAKANA MBELE YA WANANCHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9ZwYpUU5sap-Zj8QfdPJuhmSWMwT-g1dCa_21bDIzqtQ8I668gKVcZtm3a7cH53pR2Sjyr8XIPjy6k01zWn0vjo_84CwbNAiSyCSalsBZUCnV3Rt2DFw2bhjVgUkEjv8dmNxWTgjkwBeh/s640/FB_IMG_1489165518270.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9ZwYpUU5sap-Zj8QfdPJuhmSWMwT-g1dCa_21bDIzqtQ8I668gKVcZtm3a7cH53pR2Sjyr8XIPjy6k01zWn0vjo_84CwbNAiSyCSalsBZUCnV3Rt2DFw2bhjVgUkEjv8dmNxWTgjkwBeh/s72-c/FB_IMG_1489165518270.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/mhe-lema-madiwani-wa-chadema-waoga-nipo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/mhe-lema-madiwani-wa-chadema-waoga-nipo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy