MAKAMANDA WA POLISI KUKUTANA DODOMA KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UHALIFU
HomeJamii

MAKAMANDA WA POLISI KUKUTANA DODOMA KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UHALIFU

Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi. MAOFISA Wakuu wa Jeshi la Polisi  wanatarajia kukutana mkoani Dodoma kuanzia Jumatatu tarehe 27-2...

WANANCHI WASHAURIWA KUENDELEA KUPIMA AFYA ZAO UKIMWI BADO NI TISHIO
DORIS MOLLEL FOUNDATION YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO NJITI KWA MATEMBEZI, VISIWANI ZANZIBAR
MAKAMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 22 WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI




Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi.


MAOFISA Wakuu wa Jeshi la Polisi  wanatarajia kukutana mkoani Dodoma kuanzia Jumatatu tarehe 27-29/03/2017 katika kikao kazi cha siku tatu kujadili na kupanga mikakati mbalimbali ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu hapa nchini.


Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake, Msemaji wa Jeshi la Polisi,  Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Advera Bulimba (pichani) alisema kikao hicho kitawakutanisha maofisa wakuu wa makao mkauu ya Polisi, makamanda wa Polisi wa mikoa na Makamanda wa vikosi bara na Zanzibar ili kujadili mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika utendaji katika kipindi cha mwaka uliopita na kuweka mikakati mipya ya kupambana na uhalifu kwa mwaka 2017.


Aidha, Bulimba alisema mbali na utaratibu wa mawasiliano ya kila siku katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao, Jeshi la Polisi pia lina utaratibu wa kukutana kila mwaka kwa pamoja ili kubadilishana uzoefu kukabiliana na wahalifu kwa lengo la kuhakikisha kuwa usalama wa raia na mali zao unaendelea kuimarika hapa nchini.

“Katika kikao hicho Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu atatoa maelekezo ya kiutendaji ambayo lengo lake ni kuhakikisha kuwa kila ofisa,  mkaguzi na askari anawajibika kwa nafasi yake katika kuhakikisha uhalifu unapungua hapa nchini” Alisema Bulimba.


Bulimba alisema kikao kazi hicho kinatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba ambapo kauli mbiu katika kikao hicho ni “Zingatia maadili tunapopambana na uhalifu ili kuimarisha usalama kwa maendeleo ya Taifa”.




(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMANDA WA POLISI KUKUTANA DODOMA KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UHALIFU
MAKAMANDA WA POLISI KUKUTANA DODOMA KUPANGA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA UHALIFU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvqPI7jr6dGLZlYUc2H9fGH6x2sgls5bsC3luQif0ISVMQbCehinsOIF7E8mYdnp966kEWNLjpAPb2OTASmRDGssnUK56cNpo11HOr0CbWSzu8_elCJ8CuLFYGG7mv3BbRYGXgCPVJ5Osn/s400/Msemaji.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvqPI7jr6dGLZlYUc2H9fGH6x2sgls5bsC3luQif0ISVMQbCehinsOIF7E8mYdnp966kEWNLjpAPb2OTASmRDGssnUK56cNpo11HOr0CbWSzu8_elCJ8CuLFYGG7mv3BbRYGXgCPVJ5Osn/s72-c/Msemaji.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/makamanda-wa-polisi-kukutana-dodoma.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/makamanda-wa-polisi-kukutana-dodoma.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy