Mkurugenzi wa Hope Art Factory Hellen Tegga akizungumza katika mafunzo ya wanawake juu ya ujasiliamali na kupaza sauti yaliyofanyi...
Mkurugenzi wa Hope Art Factory Hellen Tegga akizungumza katika mafunzo ya wanawake juu ya ujasiliamali na kupaza sauti yaliyofanyika Millenium Tower jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Mfuko Graca Machel , Manuel Akinyi akitoa mada katika mafunzo ya wanawake juu ya ujasiliamali na kupaza sauti yaliyofanyika Millenium Tower jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Hope Art Factory ,Hellen Tegga akimkabidhi cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wanawake ya Ujasiliamali , Ainde Ndanshau yaliyofanyika katika ukumbi wa Milllenium Tower jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Hope Art Factory ,Hellen Tegga akimkabidhi cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wanawake ya Ujasiliamali , Mrcy Mchechu yaliyofanyika katika ukumbi wa Milllenium Tower jijini Dar es Salaam.
Washiriki wakiwa katika mafunzo ya wanawake yaliofanyika katika ukumbi wa Milleniumm Tower jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii)
Picha ya pamoja.
COMMENTS