MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu baadhi ya watoto walioletwa kwa matibabu katika hospitali ya CCBRT kama wagonjwa wa nje,kulia anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa CCBRT Bw. Erwin Telemans. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu baadhi ya watoto walioletwa kwa matibabu katika hos...

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN KASKAZINI B UNGUJA
MTANDAO WA BARABARA KUU NA MIKOA UMEFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI
MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAKAZI WA KIZIMKAZI KUWA NA BIMA YA AFYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bibi Helena Mjinja mwenye umri wa miaka 64 kutoka Musoma anayepata matibabu ya Fistula katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalim. 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi na wagonjwa wa hospitali ya CCBRT mara baada ya kumaliza kutembelea hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. 




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtzxxEJ2Wtd7M9QG3p-dzazS5MwbLPzkngikdByBUU3Hc1yWqq_KhyRKHPKsRo4p3q3PbdzD6JZK1tSZRXo18yB_LAPNqG01Ok3Am74ZRJsreQ3fOhosiNrpLWCzs5YrKg_DSmH-Qa-xI/s640/2+%252811%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtzxxEJ2Wtd7M9QG3p-dzazS5MwbLPzkngikdByBUU3Hc1yWqq_KhyRKHPKsRo4p3q3PbdzD6JZK1tSZRXo18yB_LAPNqG01Ok3Am74ZRJsreQ3fOhosiNrpLWCzs5YrKg_DSmH-Qa-xI/s72-c/2+%252811%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-atembelea-hospitali-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-atembelea-hospitali-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy