Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ...
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana
na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S.
Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo Machi 15,
2017. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza
na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S.
Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo Machi 15,
2017
COMMENTS