CCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA, LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing wakati wakisubiri kupokea uju...



 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing wakati wakisubiri kupokea ujumbe wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kulia), akiongozana na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing (katikati) kwenda kuupokea ujumbe wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.



 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo. 

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimsindikiza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong (kushoto), kwenda kwenye gari, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China, Guo Jialong akipanda katika gari. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akiingia kwenye gari alilopanda Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kumpeleka kwenye Chumba cha Mapumziko cha watu mashuhuri, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, kabla ya kumpeleka hotelini.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC, Jialong akipewa saluti na Mwabata wa Ubalozi wa China, alipokuwa akienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada ya kuwasili nchini leo.


 Wakienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

 Mpogolo na mgeni wake wakiingia kwenye Chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Katikati ni Balozi wa China hapa nchini.


 Wakiwa katika mazungumzo mafupi kwenye chumba cha watu mashuhurikwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kupelekwa hotelini kupumzika.


 Magari yakiwa yamejipanga tayari ka safari ya kuupeleka ugeni huo wa CPC kwenda hotelini.


 Gari la Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC likiwa tayari kumchukua mgeni huyo kwenda hotelini.


 Mumbe wa Kamati Kuu ya CPC, Guo Jialong, akiwasalimia baadhi ya maofisa, alipowasili hotelini kwa ajili ya mapumziko. Nyuma yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.

Baadhi ya maofisa wakati mgeni akisindikizwa kwenda hotelini

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, wakiagana na mgeni wao baada ya kumfikisha hotelini

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza na waandishi wa habari waliotaka kujua kiini hasa cha ziara ya ugeni huo kutoka CPC. (Picha zote na Bashir Nkoromo)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA, LEO
CCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA, LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3eoGLj_s_t81O7F5s4hJ8Z8q9BdOa9Uj3WqjynO1TezGnpjtsVmTKX2s3sH0wlXzzC8YkpdGbrbfTGwImiaismjzvM2nxqOEucd7PFq0VEFauZWOC7ufYjP1GvV3eFEJKN4QMROoC1z9I/s640/BN640222.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3eoGLj_s_t81O7F5s4hJ8Z8q9BdOa9Uj3WqjynO1TezGnpjtsVmTKX2s3sH0wlXzzC8YkpdGbrbfTGwImiaismjzvM2nxqOEucd7PFq0VEFauZWOC7ufYjP1GvV3eFEJKN4QMROoC1z9I/s72-c/BN640222.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/ccm-yapokea-ujumbe-mzito-kutoka-chama.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/ccm-yapokea-ujumbe-mzito-kutoka-chama.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy