WAZIRI PROFESA MAGHEMBE AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI NA KUZUNGUMZIA NAYE MASUALA YA UTALII

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu n...


 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia  wanavyoweza kuja  nchini Tanzania kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala (kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara,  Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia)
 
Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni ( wa kwanza kulia)  akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto)  kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa  Italia  wanavyoweza kuja   kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya  nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam.
 
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia  wanavyoweza kuja  nchini Tanzania kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala (kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara,  Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia).
 
 Msemaji  wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania  (TFS) Glory Mziray (kulia) akiwa na Katibu wa Waziri, Ephraimu Mwangomo ( wa pili kulia) wakimsikiliza Balozi wa Italia nchini  Tanzania, Reborto Mengoni  (hayupo pichani) mara baada ya kufanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kuhusu masuala ya uwekezaji katika sekta ya Utalii kwa  kujenga hoteli za nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo kale, Dkt.Fabian Kigadi pamoja na Mwambata anayeshughulikia  masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala (kushoto) .
 
Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Maliasli na Utalii wakiagana na Waambata wa Ubalozi wa Italia  nchini Tanzania walipokutana leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Lusungu Helela- Maliasili)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI PROFESA MAGHEMBE AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI NA KUZUNGUMZIA NAYE MASUALA YA UTALII
WAZIRI PROFESA MAGHEMBE AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI NA KUZUNGUMZIA NAYE MASUALA YA UTALII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiez-IXribfT90OgKXUtPnzWPjQ4sYd9L_4a7aDtehukmgCHbJF6SWtQ7ZjxOLyWK-Xyguceu7ykGXxZv16gx06lBqWPXUw830c8tKpZAwNpcN6M11IgBNhHzT-3WUVWdmABcQFzIQnzLyj/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiez-IXribfT90OgKXUtPnzWPjQ4sYd9L_4a7aDtehukmgCHbJF6SWtQ7ZjxOLyWK-Xyguceu7ykGXxZv16gx06lBqWPXUw830c8tKpZAwNpcN6M11IgBNhHzT-3WUVWdmABcQFzIQnzLyj/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-profesa-maghembe-akutana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-profesa-maghembe-akutana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy