Mkurugenzi Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza leo kwenye warsha ya wanahabari kuhusu mweleke...
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza
leo kwenye warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za
masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017. Kushoto Mkurugenzi
Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa.
Mkurugenzi wa TMA, Dk. Agnes Kijazi akiongea
pambeni ni sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari
wakiwa warsha kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha
mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.
Sehemu
ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa warsha kuhusu
mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei
2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.
Mkurugenzi
wa TMA, Agnes Kijazi (katikati) waliokaa kwenye viti akiwa katika picha
ya pamoja na wanahabari katika Warsha hiyo. Pembeni yake Kushoto ni
Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa na Meneja Kituo
Kikuu cha Utabiri Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Samwel Mbuya (kulia).
COMMENTS