Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasisitiza wat...
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwasisitiza watumishi wa umma nchini
kutumia Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) alipokuwa akizindua Tovuti hiyo mkoani Dodoma leo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya
Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb)
wakifurahia uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani
Dodoma leo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifuatilia maelezo kuhusu Tovuti ya
Watumishi (Watumishi Portal) baada ya kuizindua rasmi mkoani Dodoma leo.
Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb) na kushoto kwake ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Anastazia
Wambura (Mb) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Dkt. Laurean
Ndumbaro.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na baadhi ya watumishi wa
umma waliohudhuria uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal)
mkoani Dodoma leo.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa
Tovuti ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo. Kulia kwake ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Mkurugenzi wa Idara ya
Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais - UTUMISHI, Bw. Mathias Kabunduguru.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Laurean Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) kuzungumza na watumishi waliohudhuria uzinduzi wa Tovuti ya
Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo.
Baadhi
ya watumishi wa umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (Hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Watumishi
(Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo.

COMMENTS