Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Maku...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kushoto) mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja leo katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizindua kitabu cha Sheria ya Mwaka 2015 katika sherehe za Siku ya
Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akinyanyua kitabu cha Sheria ya Mwaka 2015 baada ya
kukizindua rasmi leo katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar
zilizofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
mmoja Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora (kushoto) makamo wa Pili
wa Rais balozi Seif Ali Iddi akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar
Othman Makungu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa Majaji,Mahakimu na wafanyakazi wakati wa sherehe
za Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,ambapo ujumbe wa mwaka
huu unasema "SIMAMIA SHERIA NA MAADILI KATIKA UTENDAJI HAKI"
Baadhi ya Mahakimu na wafanyakazi wa idara ya Maahakama Zanzibar wakiwa katika sherehe
ya kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika ukumbi
wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe ya kilele cha Siku
ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza
la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,akiwepo jaji Mkuu Mstaafu wa
Tanzania Mohamed Chande Othman (wa pili kulia).
(Picha na Ikulu).
(Picha na Ikulu).
COMMENTS