Mkufunzi kutoka tasisi wa masuala ya sheria juu manunuzi ya Umma, Hamis Tika akizungumza na watumishi wa taasisi ya moyo ya Jakaya K...
Mkufunzi kutoka tasisi wa masuala ya sheria juu manunuzi ya Umma, Hamis Tika akizungumza na watumishi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete.
Baadhi ya wafanyakazi wa tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wakisikiliza kwa makini juu ya mafunzo ya masuala ya manunuzi.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya taaluma PSPTB, Ally Songoro akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete .
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi, akizungumza kabla ya kumkaribisha kaimu mkurugenzi mkuu wa PSPTB.
COMMENTS