NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA KUHAMASISHA KUJIUNGA NHIF
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.
HomeJamii

NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA KUHAMASISHA KUJIUNGA NHIF

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na...

RAIS DKT. SHEIN, AKUTANA NA SHEIKH SAUD BIN SAQR AL QASIMI, SUPREME COUNCIL MEMBER AND RULER OF RAS AL KHAIMAH
FULL VIDEO: DK. KIGWANGALLA AKITAJA ORODHA YA WATUHUMIWA WA UJANGILI
RC MAKONDA AZINDUA JENGO LA UPASUAJI KWA WAJAWAZITO HOSPITAL YA MWANANYAMALA
NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA KUHAMASISHA KUJIUNGA NHIF
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani
Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahima akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wa wafanyabiashara na wajasiamali mkoani Tanga leo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akisisitiza jambo kwenye mkutano huo wa pamoja.
 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Miraji Kisile akifafanua namna ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma
mbalimbali ikiwemo za matibabu kupitia mfuko huo.

 
  Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mkoani Tanga (NHIF) Miraji Kisile akifafanua namna ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo za matibabu kupitia mfuko huo ikiwemo kufanya biashara zinazotambulika kisheria ili kuisaidia serikali kupata mapato.


 Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo.




 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mkoani Tanga (NHIF) Miraji Kisile akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wafanyabishara waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Police Mess mkoani Tanga


 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akisistiza jambo katika mkutano huo kwa baadhi ya wafanyabiashara namna wanayoweza kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya kwa ajili ya kupata matibabu



 Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo.

Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA KUHAMASISHA KUJIUNGA NHIF
NAMAINGO BUSSINESS AGENCY NA NHIF YAWAKUTANISHA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA TANGA KUHAMASISHA KUJIUNGA NHIF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4jTnF4RSU-LEzlN60G08jEXfqjVpfnn60-n2bPzAwh0gOU3hIcOOIZcLuaqRQddd0-4XHitzqlu_dE8gfiLPGuYeHcXGIdzQXEBT02-H2NyJeIk35GvB_bN_TTThOQTqwoDKoWjNPJgdK/s640/IMG_2406.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4jTnF4RSU-LEzlN60G08jEXfqjVpfnn60-n2bPzAwh0gOU3hIcOOIZcLuaqRQddd0-4XHitzqlu_dE8gfiLPGuYeHcXGIdzQXEBT02-H2NyJeIk35GvB_bN_TTThOQTqwoDKoWjNPJgdK/s72-c/IMG_2406.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/namaingo-bussiness-agency-na-nhif.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/namaingo-bussiness-agency-na-nhif.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy