KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO, NI BAADA YA KUKUTANA NA WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI, WIKI ILIYOPITA
HomeJamii

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO, NI BAADA YA KUKUTANA NA WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI, WIKI ILIYOPITA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi N...

LUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA WALIVYO MEREMETA
KAMPUNI YA LG ELECTRONICS YATOA MSAADA WA SARE ZA SHULE
NAIBU SPIKA ATOA ZAWADI YA PIKIPIKI NA PESA TASLIMU KWA WASHINDI WA TAMASHA LA TULIA TRADITIONAL FESTIVAL 2017

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo Feb 20, 2017. 

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuonyesha sehemu ya kuketi, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, wakifurahia jambo, baada ya kuketi kwa ajili ya kuanza mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Feb 20, 2017.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  leo Feb 20, 2017.

 Mazungumzo yakiendelea. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga ambaye alihudhuria mazungngumzo hayo

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpugia mkono wa kwa heri, Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela Lubinga. 

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akimpokea Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akiwa na Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke baada ya kumpokea alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga akimpeleka Balozi wa Uingereza hapa nchini,  Darah Cooke katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu huyo wa CCM,  katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.


BALOZI WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Korea Kaskazini  hapa nchini, Kim Yong Su, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Rwanda hapa chini, Eugene Kayihura, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akiagana na Balozi wa Rwanda hapa chini, Eugene Kayihura baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO, NI BAADA YA KUKUTANA NA WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI, WIKI ILIYOPITA
KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO, NI BAADA YA KUKUTANA NA WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI, WIKI ILIYOPITA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNNu37NfL8qGrr-QWxcIbS7cLNyHQhRM2adVmJX6fMheoydV_eDP09cC8tFcdIC_CPo19akamPj7mxgNp1_EPgTf_kzZwxdmw4zY4rqSo2rQzi-bHxPpuVdzgmXd1hMwUEzgAPp2hZuSza/s640/BN647198.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNNu37NfL8qGrr-QWxcIbS7cLNyHQhRM2adVmJX6fMheoydV_eDP09cC8tFcdIC_CPo19akamPj7mxgNp1_EPgTf_kzZwxdmw4zY4rqSo2rQzi-bHxPpuVdzgmXd1hMwUEzgAPp2hZuSza/s72-c/BN647198.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/kinana-akutana-na-balozi-wa-uingereza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/kinana-akutana-na-balozi-wa-uingereza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy