. Msanii Wema Sepetu akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kesi yake ya kuahirishwa hadi March 15 mwaka huu....
.
Msanii
Wema Sepetu akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya
kesi yake ya kuahirishwa hadi March 15 mwaka huu.Kesi hiyo imeaihirishwa
na Hakimu Mkazi Thomas Simna baada ya wakili wa Serikali Constantine
Kakula kuieleza mahakama kuwa upelelezi dhidi ya kesi hiyo bado
haujakamilika
COMMENTS