Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amembelea kituo cha afya Buguruni akiwa na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille H...
Waziri
wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amembelea kituo cha afya Buguruni akiwa na
Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermann pamoja na Mkuu
wa Wilaya Bi. Sophia Mjema. Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia utoaji wa
huduma za Afya katika Vituo vinavyomilikiwa na Serikali. Demnark ni
mmoja wa Wafadhili wakubwa wa Sekta ya Afya nchini kupitia Mfuko wa Afya
wa Pamoja (Health Basket Fund). (Picha Kwa Hisani ya Wizara ya Afya)
COMMENTS