WAZIRI MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA BODI MPYA YA TANAPA
HomeJamii

WAZIRI MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA BODI MPYA YA TANAPA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Shir...

SERIKALI YAJIPANGA KUBORESHA MFUMO WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO KATIKA NGAZI YA JAMII NCHINI
KWANDIKWA: ATEMA CHECHE KWA MKANDARASI KUONGEZA MITAMBO NA WAFANYAKAZI
UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA WAIVA





Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) iliyofanyika katika ukumbi wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha.

Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara akifuatilia hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyotolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe. 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Dkt Chanasa Mpelumbe Ngeleja.
 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA Prof. Wineaster Anderson
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Tanapa Prof. Alexander Songorwa.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akikabidhi vitendea kazi Devota Mdachi mjumbe wa bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara akitoa salam zake wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanika katika ukumbi wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha. 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini iliyomaliza muda wake Modestus Lilungulu walpkutana katika hafla fupi ya uzinduzi wa bodi mpya. 

Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi ambaye pia ni mjumbe wa Bodi hiyo akifanya utamburisho wa wajumbe wa bodi ya Wadhamini wa shirika hilo. 


Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Prof.Wineaster Anderson ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maliasili na Utalii endelevu Afrika (NARESTi Africa) akitamburishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo.


  Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Dkt Lucy Lugwisa kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira akitamburishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo.

  Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA,Prof,Alexander Songorwa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Wanyamapori kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii akitamburishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.

  Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Kamishna Marijani Nsato ambaye pia ni Mkuu wa Operesheni na Mafunzo Makao Makuu ya jeshi la Polisi akitamburishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
  Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Dkt Chanasa Mpalumbe Ngeleja ambaye pia ni Daktari Mkuu wa Mifugo, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi akitambulishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, George Fumbuka ambaye pia ni Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Core Securities akitambulishwa kwa wafanyakazi wa shirika hilo.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TANAPA, Devota  Mdachi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) iliyomaliza muda wake, Modestus Lilungulu akitoa salam zake wakati wa uzinduzi rasmi wa Bodi mpya ya Wadhamini ya TANAPA. 

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakifuatilia uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuzinduliwa kwa Bodi hiyo. Katikati ni Mkurugenzi wa TANAPA, Allan Kijazi.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) muda mfupi baada ya bodi hiyo kuzinduliwa.
 
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa idara mbalimbali katika shirika hilo.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiwa katika picha ya pamoja na mameneja katika shirika hilo. 

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA BODI MPYA YA TANAPA
WAZIRI MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA BODI MPYA YA TANAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjawfDFBEnfQmyvDf0JBTseN0gu0o-xZaJqQclpIbDREXzheBl8j7ULK6M9sRdZPp3wQ53mheZ4pbS8iINM7L-0jHHhQTGPSdb4PlY4IaD3JtB_pTWct5fgyNjvQrYs6DwM2JJm-TWVJbNJ/s640/_MG_0420+%25281024x683%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjawfDFBEnfQmyvDf0JBTseN0gu0o-xZaJqQclpIbDREXzheBl8j7ULK6M9sRdZPp3wQ53mheZ4pbS8iINM7L-0jHHhQTGPSdb4PlY4IaD3JtB_pTWct5fgyNjvQrYs6DwM2JJm-TWVJbNJ/s72-c/_MG_0420+%25281024x683%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/waziri-maliasili-na-utalii-prof-jumanne.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/waziri-maliasili-na-utalii-prof-jumanne.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy