Hatua ya Sada Almasi Shomary na mumewe Kazumari Malongo, harusi ilifanyika jijini Mwanza katika Msikiti Sheikh Amin M...
Hatua ya Sada Almasi Shomary na mumewe Kazumari Malongo, harusi
ilifanyika jijini Mwanza katika Msikiti Sheikh Amin Mtaa wa Rufiji na
kufuatiwa na tafrija iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini
Mwanza
Hatua
ya Sada Almasi Shomary na mumewe Kazumari Malongo, harusi ilifanyika
jijini Mwanza katika Msikiti Sheikh Amin Mtaa wa Rufiji na kufuatiwa na
tafrija iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza.
Bibi Harusi Sada Almasi Shomary akikata keki wakati wa mnuso uliofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza
Bi Harusi akizungumza jambo ukumbini humo mbele ya wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo.
Bwana
Harsi Kazumari Malongo akimvalisha pete ya ndoa mkewe Bi' Sada Almasi
Shomary na , katika tafrija iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Grest
jijini Mwanza.
COMMENTS