WAFANYAKAZI BENKI YA POSTA TANZANIA TAWI LA MBEYA WASHEREKEA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKI ZOEZI LA USAFI KITUO CHA AFYA KIWANJA MPAKA
HomeMikoani

WAFANYAKAZI BENKI YA POSTA TANZANIA TAWI LA MBEYA WASHEREKEA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKI ZOEZI LA USAFI KITUO CHA AFYA KIWANJA MPAKA

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya wakishiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jij...

MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT MITO YA BARAKA DAR AHUDUMU KANISLA LA LUMALA MPYA MWANZA
SHULE YA SEKONDARI MALANGALI YAPATA NEEMA KUTOKA MAAS
MTANDAO WA WIZI WA BAJAJI NA BODABODA WANASWA MBEYA





Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya wakishiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya wakishiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya kusherekea miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo pia wakabidhi vifaa vya usafi katika kituo hicho cha Afya .

Zoezi la usafi likiendelea

Erick Mwaigomole Mfanyakazi Benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya akishiriki kikamilifu shughuli za usafi katika kituo cha Afya Kiwanja Mpaka jijini Mbeya kama sehemu ya kusherekea Miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.

Zoezi la Usafi likiendelea........




Meneja Msaidizi Benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya  Joseph Nzilla akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la usafi ambalo limehusisha wafanyakazi wote wa benki ya posta tawi la mbeya kama sehemu ya kusherekea miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar Leo January 12, 2017.

Picha baadhi wa wafanyakazi benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya ambao wameshiriki zoezi la usafi katika kituo cha afya kiwanja mpaka jijini Mbeya ikiwa sehemu yao ya kusherekea miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.

Meneja Msaidizi Benki ya Posta Tanzania tawi la Mbeya  Joseph Nzilla akimkabidhi vifaa vya usafi mganga mfawidhi kituo cha afya kiwanja Mpaka Stella Moses kama sehemu ya mchango wao ili kuendeleza zoezi la usafi katika kituo hicho.

Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki zoezi la usafi katika kituo cha Afya kiwanja Mpaka jijini Mbeya ikiwa sehemu ya kusherekea sherehe za Miaka 53 ya  mapinduzi Zanzibar.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI BENKI YA POSTA TANZANIA TAWI LA MBEYA WASHEREKEA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKI ZOEZI LA USAFI KITUO CHA AFYA KIWANJA MPAKA
WAFANYAKAZI BENKI YA POSTA TANZANIA TAWI LA MBEYA WASHEREKEA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKI ZOEZI LA USAFI KITUO CHA AFYA KIWANJA MPAKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoYXK3IS5vwmKQDUFF-wXfiBAuc4oJs8HoF_0xBca8aJIgNH0RSOZ7kIEAHHG9CITj3J5S9qhpJN2fbIg8r9uddTEZWm477OCSNf3u5bAWaqeS7CFXb1FI7-wWWbtqSq6Y-cQM_ssknG8/s640/IMG_5809.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoYXK3IS5vwmKQDUFF-wXfiBAuc4oJs8HoF_0xBca8aJIgNH0RSOZ7kIEAHHG9CITj3J5S9qhpJN2fbIg8r9uddTEZWm477OCSNf3u5bAWaqeS7CFXb1FI7-wWWbtqSq6Y-cQM_ssknG8/s72-c/IMG_5809.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/wafanyakazi-benki-ya-posta-tanzania.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/wafanyakazi-benki-ya-posta-tanzania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy