MTANDAO WA WIZI WA BAJAJI NA BODABODA WANASWA MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashali akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya kuhusiana na tukio la ku...










Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashali akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya kuhusiana na tukio la kuunasa mtandao wa wizi wa bajaji na pikipiki (bodaboda) Mkoani Mbeya.(JamiiMojaBlog)

Mkutano wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya na Waandishi wa habari.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashali akionesha baadhi ya Bjajai na Pikipiki ziizokmatwa katika msako uliofanywa na jeshi hilo la Polisi Mbeya.

Askari Polisi wakiwa wamebeba moja ya bajaji iliyokamatwa mara baada ya Jeshi la Polisi Kufanya masako.

Bajaji zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mara baada ya kufanya msako.


JESHI la Polisi Mkoani Mbeya limefanikiwa kuunasa mtandao uliokuwa ukihusika na matukio mbalimbali ya wizi wa bajaji na pikipiki (bodaboda) katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya.
Mtuhumiwa anayehusika na matukio hayo imefahamika kwa jina la Getruda Mwakyusa Mkazi wa Mtaa wa Manga Veta jijini hapa.
Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashari amesema jeshi la polisi limeendelea  kufanya misako katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya  ili kudhibiti uhalifu .
Amesema Octobar 13 katika misako hiyo jeshi hilo la polisi lilifanikiwa kuunasa mtandao wa wizi wa bajajai na pikipiki ambapo mtuhumiwa wa matukio hayo alifanikiwa kutoroka ambapo nyumba yake mara baada ya kufanyiwa  upekuzi  zilikutwa pikipiki 3,bajaji 3,bodi 7 za bajaji .
Amesema kati ya mali hizo pikipiki mbili tayari zimekwisha tambuliwa na wamiliki wake kuwa ziliibiwa wilayani Chunya septemba25 mwaka huu katika kijiji cha Isenyela kata ya Mbugani.
Aidha Kamanda wa Polisi Mkoani humo ametoa wito kwa jamii husasani vijana kuacha tabia ya kutaka mali kwa njia ya mkato badala yake wafanye kazi kihalali ili kijipatia kipato sanjali na kutumia fursa zilizopo ili kujitafutia ajira.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MTANDAO WA WIZI WA BAJAJI NA BODABODA WANASWA MBEYA
MTANDAO WA WIZI WA BAJAJI NA BODABODA WANASWA MBEYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjK5ZvC0pv3F10NUd7E4iT_dlRSfmZnfbuDQzDdzwSGuV0LMr1VlUMzAwyasLUDCfRWHUJZqzwcZfn-wwqivEV7iJsI2OmCvMReLvSIgYoj2mQOr9mReHVlnTs7kWrkUh7Jb9cS7tGvk3wX/s640/IMG_3364.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjK5ZvC0pv3F10NUd7E4iT_dlRSfmZnfbuDQzDdzwSGuV0LMr1VlUMzAwyasLUDCfRWHUJZqzwcZfn-wwqivEV7iJsI2OmCvMReLvSIgYoj2mQOr9mReHVlnTs7kWrkUh7Jb9cS7tGvk3wX/s72-c/IMG_3364.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mtandao-wa-wizi-wa-bajaji-na-bodaboda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mtandao-wa-wizi-wa-bajaji-na-bodaboda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy