UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA BRANDING YA KARAFUU YA ZANZIBAR
HomeJamii

UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA BRANDING YA KARAFUU YA ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili w...

VIDEO:NAPE: MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA
KITUO CHA AFYA CHA LOTUS –LHC CHAFADHILI WARSHA YA UELEWA WA USONJI NCHINI.
WAKAZI WA UKEREWE MWANZA WATAKIWA KUITUMIA MELI MPYA NA YA KISASA, MV NYEHUNGE II.





UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA BRANDING YA KARAFUU YA ZANZIBAR
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  leo, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahamoud.
 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu  ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimishio ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 
 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo  ambazo huingizwa  katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipotembelea kazi hizo leo katika  uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt. Said Seif Mzee.
 
 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kwa Asmahani Abdulkadir alipotembelea Karafuu zinazotiwa katika chupa kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  leo, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee.
 
 
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la ZSTC na Wananchi waliohudhuria katika  uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjin Unguja leo, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika hafla hiyo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 
 
 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) kuzungumza na Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 
  Baadhi ya Viongozi waliohudhuria nkatika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar  huko Saateni Mjini Unguja leo, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake katika hafla hiyo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi  katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi, Wafanyakazi na Wananchi  katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Kulia ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la ZSTC Maalim Kassim Suleiman.
 
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akionesha nembo ya Karafuu kama ishara ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar, uliofanyika leo huko Saateni Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya  miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Kulia ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali.
 
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la ZSTC Maalim Kassim Suleiman (katikati) baada ya kumalizika hafla ya Uzinduzi wa   Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja leo,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali. (Picha na Ikulu)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA BRANDING YA KARAFUU YA ZANZIBAR
UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA BRANDING YA KARAFUU YA ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUdR_YVdkg6VqlL3ar-07iKHVRKfy-ZIhM-FPHUrgiWAVpRlLRGfWf06Nv0-OgVB6PqnyalIIYj-KMlCZaSUCv-rdF-B9J82dLt0yTyn1fGyE6EOOgbAjfNauIl7IlWHC4scihiqyfEEhT/s640/DSC_2327.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUdR_YVdkg6VqlL3ar-07iKHVRKfy-ZIhM-FPHUrgiWAVpRlLRGfWf06Nv0-OgVB6PqnyalIIYj-KMlCZaSUCv-rdF-B9J82dLt0yTyn1fGyE6EOOgbAjfNauIl7IlWHC4scihiqyfEEhT/s72-c/DSC_2327.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/uzinduzi-wa-awamu-ya-kwanza-ya-branding.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/uzinduzi-wa-awamu-ya-kwanza-ya-branding.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy