TTCL YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI TABORA
HomeJamii

TTCL YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI TABORA

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanry akipokea msaada wa vifaa hivyo vya maabara ya Sayansi kutoka kwa Meneja wa TTCL tawi la T...

RAIS MAGUFULI AMTEUA MNADHIMU MKUU MPYA WA JWTZ, NI MEJ.JEN YAKUBU HASSAN MOHAMMED
VIDEO: IBADA YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR ES SALAAM
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA JENGO LA HUDUMA YA MAMA NA MTOTOT HOSPITALI YA RUFAA AMANA


 TTCL YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI TABORA

Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanry akipokea msaada wa vifaa hivyo vya maabara ya Sayansi kutoka kwa Meneja wa TTCL tawi la Tabora Bw. James Mlaguzi, vifaa hivyo vinathamani ya shilingi milioni saba. 


Meneja wa TTCL tawi la Tabora Bw.James Mlaguzi akisoma taarifa fupi ya kukabidhi msaada huo wa vifaa vya maabara vilivyogharimu jumla ya shilingi milioni saba.
Meneja wa TTCL tawi la Tabora Bw.James Mlaguzi akikabidhi taarifa aliyoisoma wakati wa kukabidhi vifaa hivyo vya maabara ya Sayansi kwa Shule za Sekondari kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Aggrey Mwanry.
Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule za Sekondari ya Tabora Wavulana na Wasichana nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora baada ya hafla fupi ya TTCL kukabidhi msaada wa vifaa vya Maabara ya Sayansi kwa Shule za Sekondari za mkoa wa Tabora.


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Tabora Wasichana wakiwa wamebeba masanduku ya vifaa vya maabara vilivyotolewa msaada na Kampuni ya Simu Tanzania TTCL

Baadhi ya maafisa wa TTCL wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya maabara ya sayansi vilivyokabidhiwa na Kampuni hiyo ya simu Tanzania.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TTCL YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI TABORA
TTCL YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI TABORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXznajYrc9uMNsLo7l_KQaaGjRs8oH9Kuj8JmKJxMHzuOYmXCxfUoTHSRRAAv_8eDfrddYXTg4c6_CRxjyKkht55KwGeMEwon4wS7J0QDp6ZmggK5Rp7AGG-oeRWYy_SOqmxtjmJIExfk/s640/TTCL+10.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXznajYrc9uMNsLo7l_KQaaGjRs8oH9Kuj8JmKJxMHzuOYmXCxfUoTHSRRAAv_8eDfrddYXTg4c6_CRxjyKkht55KwGeMEwon4wS7J0QDp6ZmggK5Rp7AGG-oeRWYy_SOqmxtjmJIExfk/s72-c/TTCL+10.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/ttcl-yasaidia-vifaa-vya-maabara-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/ttcl-yasaidia-vifaa-vya-maabara-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy