NEC YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage akiangalia Orodha ya majina ya wapiga k...


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage akiangalia Orodha ya majina ya wapiga kura 603 iliyobandikwa katika kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Maandalizi ya Nyamanzi katika jimbo la Dimani Zanzibar leo. Kulia ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mst. Zanzibar, Mhe. Hamid M. Hamid (katikati) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (kushoto) Mhe. Semistocles Kaijage na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa NEC, Emmanuel Kawishe mara baada ya kutembelea kituo cha kupigia kura cha Dimani leo visiwani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu wa Zanzibar, Hamid M.Hamid (wa  pili kutoka kushoto) na Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo mara baada ya kutembelea vituo vya kupigia kura katika jimbo la Dimani. Katikati ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa jimbo la Dimani Bi. Idaya Selemani Hamza, Mkurugenzi wa huduma za kisheria, Bw. Emmanuel Kawishe (wa pili kutoka Kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya  Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mhandisi Isack Manyiri. 

 Orodha ya Majina ya Wapiga kura iliyobandikwa Siku nane kabla ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika kituo cha kupigia kura cha Nyamanzi  chenye wapiga Kura 603 katika jimbo la Dimani leo. 
 
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage (Kulia) akimweleza jambo Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Emanuel Kawishe (kushoto) mara baada ya kukagua mabango ya Matangazo ya Tume kuhusu upigaji wa kura, Orodha ya Majina ya Wapiga kura na wagombea katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Maandalizi Kisakasaka, Dimani Zanzibar leo.

Moja ya Bango la Elimu ya Mpiga Kura lililobandikwa katika kituo cha kupigia Kura cha Kisakasaka katika jimbo la Dimani kuonesha utaratibu wa kufuata wakati wa kupiga Kura .

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (wa tatu kutoka kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Zanzibar, Hamid M. Hamid (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa NEC walipotembelea vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Dimani kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge utakaofanyika Jumapili, Januari 22, 2017.

\
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Tume Jaji Mst. Zanzibar, Hamid M. Hamid (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa NEC walipotembelea vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Dimani kuangalia maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge utakaofanyika Jumapili, Januari 22, 2017.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akiangalia Orodha ya majina ya wapiga kura 603 iliyobandikwa katika kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Maandalizi ya Nyamanzi katika jimbo la Dimani Zanzibar leo. Wengine ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe (katikati) na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa NEC, Bw. Emmanuel Kawishe akimweleza jambo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (right) Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) alipotembelea kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Maandalizi ya Nyamanzi katika jimbo la Dimani leo. Kulia Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dimani Bi. Idaya Seleman Hamza. (Picha na Aron Msigwa - NEC)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEC YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR
NEC YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHkNBV3x-omiI0z0VpU0nrFmJV1ES0VgNyWJ_1YMaNbPYY2E0NbcwIfT784hA71zfcuDwxWuTMHlR8OuGPduds7Bm1gn3ItK0GjkhyUasbt23cTXLqQMJS1bzgFWqGgMcXfrhxEVPhrr29/s640/Photo+4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHkNBV3x-omiI0z0VpU0nrFmJV1ES0VgNyWJ_1YMaNbPYY2E0NbcwIfT784hA71zfcuDwxWuTMHlR8OuGPduds7Bm1gn3ItK0GjkhyUasbt23cTXLqQMJS1bzgFWqGgMcXfrhxEVPhrr29/s72-c/Photo+4.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/nec-yaridhishwa-na-maandalizi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/nec-yaridhishwa-na-maandalizi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy