NAIBU WAZIRI MASAUNI AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO SONGWE

Naibu Waziri  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari b...


Naibu Waziri  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari baada ya kumaliza ziara ya kutembelea shamba la Mahindi linalomilikiwa na Gereza la Kilimo Songwe, lililopo wilayani Mbalizi, jijini  Mbeya.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
 Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Kanali Mstaafu Masoud Ally, akiwaongoza wajumbe wengine wa kamati hiyo kusalimiana na Maafisa wa Jeshi la Magereza wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli zinazofanywa na Gereza la Kilimo Songwe, wilayani Mbalizi, Jijini Mbeya.
 Naibu Waziri  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Kanali Mstaafu Masoud Ally (wakwanza kulia), kuingia ndani ya Gereza la Kilimo la Songwe,lililopo wilayani Mbalizi, jijini Mbeya,  ambapo wajumbe wa kamati walipata fursa ya kusikiliza maoni kupitia  risala iliyoandaliwa na wafungwa wa gereza hilo.Wengine ni viongozi wa gereza hilo.
 Afisa wa Jeshi la Magereza  akijibu maswali yaliyoulizwa na wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama walipotembelea shamba la mahindi linalomilikiwa na Gereza la Kilimo la Songwe, lililopo wilayani Mbalizi, mkoani Mbeya.Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.

 Naibu Waziri  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimpokea Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Kanali Mstaafu Masoud Ally (wa pili kushoto), wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli zinazofanywa na Gereza la Kilimo Songwe, wilayani Mbalizi, mkoani  Mbeya.
(IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI MASAUNI AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO SONGWE
NAIBU WAZIRI MASAUNI AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO SONGWE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQnrzmwI-gvPj2GS6N-BHvco3uPjFfNXeoJppAgj2xjPlPVICT9-9J5i6n4-na1rq-yiDry9miRcy_sM_VdVZiF-SovuKmH0iKvndJPFFLalw98tWJrmH2GlRwhe8mAViNuPBfJy7tgtDP/s640/5.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQnrzmwI-gvPj2GS6N-BHvco3uPjFfNXeoJppAgj2xjPlPVICT9-9J5i6n4-na1rq-yiDry9miRcy_sM_VdVZiF-SovuKmH0iKvndJPFFLalw98tWJrmH2GlRwhe8mAViNuPBfJy7tgtDP/s72-c/5.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/naibu-waziri-masauni-aiongoza-kamati-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/naibu-waziri-masauni-aiongoza-kamati-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy