Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kan...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo
mara baada ya kutembelea Taasisi hiyo jana. (PICHA NA ANNA NKINDA – JKCI)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof.
Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la
Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo
alipotembelea Taasisi hiyo jana. Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna
Kajuna.

Kajuna

COMMENTS