MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM PIA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA WA MKOA WA RUVUMA.

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuw...



Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma.
 
 
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)amemkabidhi kadi ya CCM Bwana Musa Ndomba ambaye amerudi CCM mwanzo alikuwa mwana chama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Tanga manispa ya songea na mwenyekiti wa wawanafunzi katika chuo kikuu cha mtakatifu John kilichopo Songea shughuli hiyo imefanyika katika ukumbi wa ccm mkoa wa Ruvuma.
 
 
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma wakatialipofika hapo kwa ajili ya kuongea na viongozi wa ccm mkoa wa Ruvuma kushoto ni Mwenyekiti CCM mkoa wa Ruvuma Bwana Oddo Mwisho na anaye fuatia ni katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho.
 
 
 
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB)akizungzumza na viongozi wa CCM mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa CCM Mkoani Ruvuma.
 
 
Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi

(Picha na Chris Mfinanga)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM PIA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA WA MKOA WA RUVUMA.
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM PIA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA WA MKOA WA RUVUMA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXGiZlxJ7JBTHjTeURkcjOXiIkhFYSGwgF8AJdYGoPxasw50RIoc5Sl9t-RqbO89DUcE-J5IYWeIenwQ9hmQ7oA2Bzlh2fovKeVqsf5DnFxTJWYe3PRd2et6sla7O4r_-MxhhYXBIo9iWT/s640/RG1A1165.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXGiZlxJ7JBTHjTeURkcjOXiIkhFYSGwgF8AJdYGoPxasw50RIoc5Sl9t-RqbO89DUcE-J5IYWeIenwQ9hmQ7oA2Bzlh2fovKeVqsf5DnFxTJWYe3PRd2et6sla7O4r_-MxhhYXBIo9iWT/s72-c/RG1A1165.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mjumbe-wa-halmashauri-kuu-ccm-pia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mjumbe-wa-halmashauri-kuu-ccm-pia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy