MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, (WCF) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, (WCF) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Januari 18, 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Mk...

MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA WANAWAKE YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI KATIKA UZINDUZI WA TOVUTI ZA MIKOA NA HALMASHAURI NCHINI
ALPHAYO KIDATA AANZA MAJUKUMU MAPYA IKULU




 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  Januari 18, 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Ikulu jijini Dar es Salaam. Pichani, Makamu wa Rais, akipiga picha na Bw. Mshomba mara baada ya mazungumzo yao. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS).
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Ikulu jijini Dar es Salaam, Januari 18, 2017
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, (kulia), akimsikiliza Mkurugenzio Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, Ikulu jijini Dar es Salaam, Januari 18, 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mmkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba Januari 18, 2017.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, (WCF) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, (WCF) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEEPTFfQl4nroCnem2qF2nMR_1mCUTm4l3Yb9iQylXkireHXIGRzLNi6VmUEEocXN20pZY3lQE4eFgLSeAaG38yHSsrJjY6rCGTrsc3ar8XXpOEBgQpqqzNRrtK99xzL4TwKsqBUmOr2A/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEEPTFfQl4nroCnem2qF2nMR_1mCUTm4l3Yb9iQylXkireHXIGRzLNi6VmUEEocXN20pZY3lQE4eFgLSeAaG38yHSsrJjY6rCGTrsc3ar8XXpOEBgQpqqzNRrtK99xzL4TwKsqBUmOr2A/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_18.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_18.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy