Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Mhe. Profesa Makame Mbarawa(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
Wahitimu wa kozi mbalimbali toka chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mara
baada ya kuwatunuku Stashahada ya Uzamili, Shahada, Stashahada na
Astashahada wahitimu hao leo 28/01/2017 jijini Dar es Salaam.(PICHA
ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM).
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha Taifa
cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa Zacharia Mganilwa wakati wa mahafali
ya 32 ya chuo hicho yaliyofanyika leo 28/01/2017 chuoni hapo jijini Dar es
Salaam.
Wahitimu pamoja na Viongozi mbaimbali wakiwa katika
maandamano kuelekea viwanja vya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa ajili
ya kumpokea mgeni rasmi na shughuli ya mahafali kuanza chuoni hapo leo
27/01/2017 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Profesa Makame Mbarawa (katikati) akiwa ameongozana na Mkuu wa Chuo cha
Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa Zacharia Mganilwa pamoja na Mwenyekiti
wa Bodi ya Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi. Profesa
Blasius Bavomara baada ya kupokelewa na Bendi ya Jeshi la Polisi kuelekea
kwenye viwanja vya chuo tayari kwa ajili ya kuanza sherehe ya mahafali ya 32 ya
chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) 28/01/2017 jijini Dar es Salaam.

COMMENTS