Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofis...
 |
| Katibu
Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa
nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni
Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela
Lubinza. |

Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika ukumbi wa
mazungumzo Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, alipowasili katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo .
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa
nchini Dk. Lu Young, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es
Salaam, leo .
 |
| Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtambulisha Katibu mpya wa NEC,
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza, wakati wa
mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Saalaam, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |
COMMENTS