Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Albert Obama (Mb) akizungumza wakati Kam...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe.
Albert Obama (Mb) akizungumza wakati Kamati yake ilipokwenda kukagua
mradi wa Ujenzi wa Nyumba katika eneo la Kawe na Morroco Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu akiwaelezea Wajumbe wa
Kamati ya PIC kuhusu mradi wa ujenzi wa Nyumba katika eneo la Kawe.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Albert Obama (Mb) akielezea jambo wakati Kamati yake ikikagua ujenzi wa nyumba unaofaywa na NHC katika eneo la Kawe
Mkurugenzi
wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu akifafanua jambo kwa
Wajumbe wa Kamati ya PIC wakati wakikagua ujenzi wa Nyumba katika eneo
hilo la Kawe.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
COMMENTS