Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe Januari 4 2017, kuashiria...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe Januari 4 2017, kuashiria uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia
kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya
mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra
za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja, vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya
mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,
vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
Mhe, Ali Abeid Amani Karume, alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini
ikiwemo Makontena, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub
Mohamed Mahamoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Bandari Cpt. Abdalla Juma, alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini
ikiwemo makontena ya mizigo mizito, ikiwa ni shamra shamra za miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika uzinduzi wa
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo
mizito, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma, kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya
kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya
Uzinduzi uliofanyika,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwasha Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua
Tani 45 wakati alipokuwa akikagua Vifaa vipya vya kufanyia kazi
katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi rasmi
alioufanyika, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar. Picha na Ikulu)


COMMENTS