CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI ATHIBITISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI
HomeJamii

CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI ATHIBITISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI

  NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID CHINA imesema, itajenga viwanda kuunga mkono mkakati wa serikali ya awamu ya tano ...

DK. SHEIN AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI INDONESIA
WATAMBUE WANAWAKE 10 MASHUHURI NCHINI TANZANIA
CRDB YATOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA SARATANI YA OCEAN ROAD




 NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
CHINA imesema, itajenga viwanda kuunga mkono mkakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wake Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kujenga uchumi wa viwanda.
Kauli hiyo imetolewa leo Januari 9, 2017, na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, (pichani juu, alipofanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Bw. Kassim Majaliwa, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri huyo ambaye amewasili leo mchana akitokea nchini Zambia, alimuhakikishia waziri mkuu azma ya serikali ya China, kujenga ushirikiano wa kihistoria baina ya mataifa hayo mawili. Ziara ya Waziri huyo ambayo ni ya kufungua msimu mpya wa mwaka 2017 wa uhusioano baina ya China na mataifa ya Kiafrika, inalenga kuweka msisitizo wa ahadi alizotoa Rais wa China, alipotembelea Tanzania mwishoni mwa mwaka jana.
Baadaye waziri huyo na ujumbe wake, walikutana na kufanya mazunhumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Mmabo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere.

 Waziri Mkuu, Bw. Kassim Majaliwa (kulia), akiwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa China, Wang Yi, (kulia kwake) alipokutana nyumbani kwake Oyseterbay jijini Dar es Salaam, Januari 9, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 
 Waziri Wang na ujumbe wake (kulia) wakifanya mazungumzo ya kiserikali na mwenyeji wake na Dkt. Augustine Mahiga na ujumbe wake kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 Waziri Wang na mwenyeji wake, Dkt. Augustine Mahiga, wakiwa kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari baada ya mazungumzo ya kiserikali.
 
 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
 
 Waziri Wang Yi na mwenyeji wake, Dkt. Mahiga, wakipiga picha rasmi.
 
 Waziri Wang na mwenyeji wake, katika mkutano na wanahabari
 Waziri Wang na mwenyeji wake, Waziri Dkt. Mahiga, wakitoka kwenye mkutano na wanahabari
 Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. LU Youqing
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya serikali wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga, akiongoza mkutano na waandishi wa habari, uliohutubiwa na Mawaziri Wanga, na Balozi Dkt. Mahiga
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI ATHIBITISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI
CHINA KUWEKEZA VIWANDA NCHINI ATHIBITISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO WANG YI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiU9xXEo2_yHaLb4qJKh-kpVNM7e_zzaiP4oFn9ajaG_snBYLDtK5F9dcyOQ12kk67TBR8H4Gf0NyCjm7CqckerQFBXysl1577MMqoBwiP3UPFPj1yE4mu8-jpwXDxYU45w2t8i_biyqfI/s640/news+conference4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiU9xXEo2_yHaLb4qJKh-kpVNM7e_zzaiP4oFn9ajaG_snBYLDtK5F9dcyOQ12kk67TBR8H4Gf0NyCjm7CqckerQFBXysl1577MMqoBwiP3UPFPj1yE4mu8-jpwXDxYU45w2t8i_biyqfI/s72-c/news+conference4.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/china-kuwekeza-viwanda-nchini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/china-kuwekeza-viwanda-nchini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy