BENKI YA MWALIMU, (MCB), YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA KISWAHILI, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

BENKI YA MWALIMU, (MCB), YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA KISWAHILI, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said BENKI ya Mwalimu, (MCB), imetoa semina kwa walimu na washiriki wa Chilumbo, (Kongamano), la Kis...

MHANDISI METHEW MTIGUMWE AWASHUKURU WADAU WOTE WALIOSHIRIKI MAONESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA –NANE NANE MWAKA 2017
WAZIRI MKUU AWAONYA WATU WANAOCHUKUA DAWA KATIKA HOSPITALI ZA SERIKALI NA KUZIPELEKA KATIKA MADUKA YAO
GRACA MACHEL ATEMBELEA WAJASIRAIMALI WALIOJUMUIKA KATIKA MKUTANO WA WOMEN ADVANCING AFRICA



NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
BENKI ya Mwalimu, (MCB), imetoa semina kwa walimu na washiriki wa Chilumbo, (Kongamano), la Kiswahili lililofanyika Chuo Cha Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam, Januari 27, 2017.
Katika semina hiyo, maafisa wa MCB walielezea huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo mpya inayomilikiwa na chama cha walimu nchini, (TTU), ambapo Meneja Mahusiano ya wateja wa benki hiyo, Charles Shadrack, (pichani juu), alisema, benki hiyo inatoa huduma za kibenki ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo yenye riba nafuu. “Kwa mfanyakazi wa serikali, anachotakiwa kuja nacho baada ya kufungua akaunti kwenye benki yetu ni Salary sleep ambapo tunatoa mkopo wa hadi shilingi milioni
30.” Alisema. Alisema, benki hiyo pia imo kwenye kundi la mabenki yanayotumia ATM za umoja hivyo mteja
anayo fursa ya kupata huduma za kibenki mahala popote nchini.
Akifungua chilumbo hilo, Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazuia Wambura, amewataka washiriki kukienzi Kiswahili kwani ni lugha inayokua kwa kasi duniani.
“Rais wetu ameonyesha njia, niwape changamoto magwiji wa Kiswahili, jifunzeni kwa bidii ili mkitumie kama ajira kwani soko la walimu wa Kiswahili linapanuka siku hadi siku.” Aisema.



Washiriki wakifurahia mada zilizokuwa zikitolewa
Washiriki wakiwa kwenye ukumbi wa Utamaduni palikofanyika chilumbo
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura (kushoto), akipena mikono na Meneja Masoko na Uhusiano wa MCB, Rahma Ngassa, mara baada ya kutoa hotuba yake.
Meneja Masoko na Uhusiano wa MCB, Rahma Ngassa (kushoto) Meneja wa Huduma kwa wateja wa benki hiyo, Flora Mbogo na Meneja Uhusiano wa wateja, Bw.Charles Shadrack, wakiwasikiliza washiriki mbalimbali waliohudhuria chilumbo (kongamano), hilo na wakataka kujua huduma zitolewazo na MCB.
Meneja Uhusiano wa wateja, Bw. Charles Shadrack (kushoto), akifafanua jambo kwa washiriki hawa waliokuwa na kiu ya kujua huduma zitolewazo na benki hiyo mpya kabisa hapa nchini.
Meneja wa MCB, tawi la Samora katikati ya jiji, Bw.Cassian Clovis, (kushoto), akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa wateja, Bw.Charles Shadrack, na Afisa Mikopo wa benki hiyo, Bw.Isaya Hagamu, huku chilumbo kikiendelea
Wimbo wa taifa ukiimbwa
Makamu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, anayeshughulikia masuala ya Mipango, Fedha na Utawala, Dkt.Magreth Shiwa, akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni
Afisa Mikopo wa benki ya MCB, Bw.Isaya Hagamu, akitoa mada juu ya upatikanaji mikopo kwenye benki hiyo.
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura, akitoa hotuba
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini
Msanii Muhogo mchungu naye alikuwepo kwenye chilumbo (kongamano) la Kiswahili






Afisa Mikopo wa benki ya MCB, Bw.Isaya Hagamu, (wakwanza kushoto), akitoa maelezo ya shughuli zifanywazo na benki hiyo kwa washiriki hawa waliokuwa na hamu ya kutaka kujua huduma zitolewazo na benki hyo
Afisa Mikopo wa benki ya MCB, Bw.Isaya Hagamu, akitoa mada juu ya upatikanaji mikopo kwenye benki hiyo.
Mtunzi maarufu wa vitabu Shafi Adam Shafi naye alikuwepo
Meneja Masoko na Uhusioano wa MCB, Bi. Rahma Ngassa, (katikati), na Meneja Uhusiano wa wateja, Bw. Charles Shadrack, (kulia), wakimsikiliza mwenyeji wao Meneja Uhusioano wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Bi. Evelyn Mpasha
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BENKI YA MWALIMU, (MCB), YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA KISWAHILI, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
BENKI YA MWALIMU, (MCB), YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA KISWAHILI, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCUkptgiG1d2JNPnMWDzd83sbkMznblLtwFwMt19h3xTmSV7Spr7fg5OMijNmYK2Pdn7Q-Rdehy0VFUkFE4-5HQohdMtWzu_zOCGaXcMtjA4-53lrdcFdD36Ao-Z4YWNk7E-Mr-U6Y7WE/s640/MCB10.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCUkptgiG1d2JNPnMWDzd83sbkMznblLtwFwMt19h3xTmSV7Spr7fg5OMijNmYK2Pdn7Q-Rdehy0VFUkFE4-5HQohdMtWzu_zOCGaXcMtjA4-53lrdcFdD36Ao-Z4YWNk7E-Mr-U6Y7WE/s72-c/MCB10.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/benki-ya-mwalimu-mcb-yatoa-semina-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/benki-ya-mwalimu-mcb-yatoa-semina-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy