WAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"
HomeJamii

WAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye, (wa pili kushoto), akipokea fomu ya kujiunga na uanacha...

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO JANA
MBINU HIZI ZITAKUSAIDIA KUKABILIANA NA MVUA JIJINI DAR ES SALAAM
MAJALIWA AWASILI MAURITIUS KUMWAKILISHA JPM KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA KIUCHUMI BARANI AFRIKA









 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses Nnauye, (wa pili kushoto), akipokea fomu ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Adam Mayingu, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Bolggers Tanzania, (TBN), uliomalizika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi.

 Waziri Nape, akipokea kadi yake ya kujiunga na Mfuko huo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi.




NA K-VIS MEDIA/KHALFAN
SAID
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Moses
Nnauye, amejiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF na kuusifu kwa huduma zake za
haraka.
Waziri Nape, amejiunga muda mfupi baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), kwenye jingo la kitega uchumi la Jubilee Towers linalomilikiwa na Mfuko huo jana.
Aidha washiriki wa mkutano huo nao pia walijiunga na Mfuko huo
kupitia uchangiaji wa Hiari yaani PSS.Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa kadi yake ya uanachama iliyotengenezwa chini ya dakika 15, Waziri Nape alisema, “Aise, kitambulisho change
tayari, hongereni sana kwa huduma za haraka, mimi sikujua kama mnafanya kazi kwa kasi yanamna hii,” alisema Mh. Nape wakati akikabidhiwa kadi hiyo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi ofisini kwake.Tangu kujaza fomu, kupiga picha na kukabidhiwa kitambulisho hicho, Waziri alitumia kiasi cha dakika 25 tu, ikiwa ni muda mfupi baada ya
kufunga mkutano huo.
Nao wanachama wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), waliokuwa
wakishiriki mkutano huo, wamejiungana PSPF, baada ya kupatiwa maelezo ya kina
kuhusu umuhimu wa kujiunga na Mfuko, kutkana na manufaa mengi ukiachilia mbali
kujiwekea akiba.
“Ukiwa Mwanachama wa Mfuko, moja ya faida kubwa ni kujipatia
bima ya Afya, itakayokusaidia wewe na familia yako, nikiwa na maana ya mke/mume
na watoto,” alisema Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdyul Njaidi katika
mada yake aliyoitoa kwa washiriki kuhusu kazi za Mfuko huo.


 Waziri Nape, akijaza fomu hiyo, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Mayingu na kulia ni Bw. Njaidi


 Bw. Njaidi akitoa mada kuhusu kazi za Mfuko huo kwa washiriki wa mkutano wa TBN
  Bw. Njaidi akitoa mada kuhusu kazi za Mfuko huo kwa washiriki wa mkutano wa TBN
 Washiriki wa Mkutano wa TBN, wakijaza fomu, huku Bw. Njaidi akitoa maelezo zaidi kwa baadhi yao
 Bw. Mayingu akimkabidhi zawadi Waziri Nape
 Waziri Nape, baadhi ya wafadhili wa mkutano kutoka PSPF, na NMB, wakiwa aktika picha ya pamoja na baadhiya washiriki wa mkutano huo wa TBN
 Mmiliki wa Blogu ya Libeneke la Kaskazini kutoka Arusha Bi. Woinde Shizzah akijaza fomu za kujiunga na PSPF


 Baadhi ya washiriki wakijaza fomu za kujiunga na PSPF.








 Waziri Nape akimkabidhi Bw. Seria Tumainieli kadi ya kujiunga na PSPF
 Waziri akimkabidhi Bi. Veronika kadi ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
  Waziri akimkabidhi Bw. Gadiola Emmanuel kadi ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"
WAZIRI NAPE AJIUNGA NA PSPF, AWASIFU KWA HUDUMA ZA "MWENDO KASI"
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYDhEMDEBhc3nj4ghcgZObjLnSTYcxD1qcRCyH0P6HQ_iGgmxmOMXN9zk_wZ5O5PhCupw8J1ao1E7DglqNRVpbvyWJqJcQLz1jsuLB92gkMaVYgH0gWV1Prs94LgPt4HBv3R11YAZryew/s640/5R5A6187.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYDhEMDEBhc3nj4ghcgZObjLnSTYcxD1qcRCyH0P6HQ_iGgmxmOMXN9zk_wZ5O5PhCupw8J1ao1E7DglqNRVpbvyWJqJcQLz1jsuLB92gkMaVYgH0gWV1Prs94LgPt4HBv3R11YAZryew/s72-c/5R5A6187.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/waziri-nape-ajiunga-na-pspf-awasifu-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/waziri-nape-ajiunga-na-pspf-awasifu-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy