Eng. Christopher Chiza. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA VA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI S imu N a-+255 - 22- 2129111...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA VA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
WIZARA VA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
Simu Na-+255-22- 2129111/8
CGA. 31/300/01/75
TAARIFA KWA UMMA
NSSF Water Front, 1 Floor,
35 Edward Sokoine Road,
11469 DAR ES SAL\AM.
35 Edward Sokoine Road,
11469 DAR ES SAL\AM.
21 Desemba, 2016
Kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wa kumteuwa Mhandisi
Christopher Kajolo Chiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Mhe. Charles P.
J. Mwijage (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ameteua
wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi;

- Bibi Dorothy Stanley Mwanyika
- Bwana Canuth Gallus Komba
- Bwana Leo Mavika
- Bwana Alfred Mapunda
- Bwana Francis Abdallah Lukwaro
f) Bwana Geofrey Kirenga
- Bwana Mkwale Adam Taib
- Bwana Seif Said Issa
i) Bwana Mohamed Jaffar Jummanne
Uteuzi huu unaanza tarehe 17 Desemba, 2016
Prof. Adol F. Mkenda \
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI
COMMENTS