SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI NAULI HOLELA KIPINDI CHA SIKUKUKU
HomeJamii

SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI NAULI HOLELA KIPINDI CHA SIKUKUKU

  Na Lilian Lundo, MAELEZO- Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imeunda kikos...

ADHA YA MVUA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR HASA BONDE LA JANGWANI AIJAWAHI KUWAACHA SALAMA
MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KWENYE MATEMBEZI YA HISANI JIJINI DAR ES SALAAM.
IDHAA YA KISWAHILI YA DW YAANDAA MDAHALO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA LEO




 Na Lilian Lundo,MAELEZO-Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imeunda kikosi kazi maalum kwa ajili ya kudhibiti upandashaji holela wa  nauli kwa mabasi yaendayo mikoani wakati wa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

Hayo yamesemwa leo na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka hiyo David Mziray wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari  hii, akieleza namna mamlaka hiyo inavyodhibiti upandaji wa nauli za mabasi yaendayo mikoani.

“Kuna timu ambazo ziko katika vituo vyote vya mabasi makubwa katika kila mkoa, timu hizo zinathibiti masuala ya nauli, usalama wa magari , kuhakikisha leseni za mabasi pamoja na muda uliopangiwa kuondoka vituoni,” alifafanua Mziray.

Aliongeza kuwa mamlaka hiyo imeruhusu mabasi yanayobeba abiria 40 na kuendelea kuomba leseni za muda  za kusafirisha abiria katika mikoa ambayo ina wasafiri wengi zaidi katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.

Kwa mujibu wa Mziray alisema mabasi hayo yatakuwa yakikaguliwa kwanza ndipo yanapewa leseni za muda pamoja na kupangiwa nauli ambazo watatozwa abiria kutokana na mkoa ambao gari hilo litakwenda.

Akizungumzia kikosi kazi hicho, Mziray alisema kuwa mwanzoni mwa wiki hii timu iliyoko kituo cha mabasi cha Ubungo ilikamata mabasi manne ambayo yalipandisha nauli kwa abiria na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI NAULI HOLELA KIPINDI CHA SIKUKUKU
SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI NAULI HOLELA KIPINDI CHA SIKUKUKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvP8EGi040ELkU0z0CxPO5jwiEbHCcTcgx1W4vzL7AtvNmQF_dAybOib3XtDlCGnbv7rFTUDTuNnXZbStdsj0tbOur1BA6JUHkcP8AP2kK5GBm17zUoxePcgZEzLxonnvCVLbu9iCvovER/s320/images.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvP8EGi040ELkU0z0CxPO5jwiEbHCcTcgx1W4vzL7AtvNmQF_dAybOib3XtDlCGnbv7rFTUDTuNnXZbStdsj0tbOur1BA6JUHkcP8AP2kK5GBm17zUoxePcgZEzLxonnvCVLbu9iCvovER/s72-c/images.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/sumatra-yaunda-kikosi-kazi-kudhibiti.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/sumatra-yaunda-kikosi-kazi-kudhibiti.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy