Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga baruti juu kuashiria ufunguzi rasmi wa mashin...
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga
baruti juu kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya michezo mbalimbali
yanayofanyika Wilayani Karatu (Karatu Sports Festival).
Wanariadha
wanaoshiriki mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani
Karatu wakijandaa kuanza kukimbia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo
uliofanywa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye Disemba 17/2016.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akisalimiana na baadhi ya washiriki wa mashindano ya michezo mbalimbali
yanayofanyika Wilayani Karatu.

COMMENTS