NAPE ABIDHI RASMI UENZI, KWA HUMPHREY POLEPOLE LEO, JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape...






Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape Nnauye (kulia), leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Polepole amemsifu Nape kwamba aliongoza Idara hiyo vizuri na kwa hiyo anaendelea kuhitaji ushauri wake katika kazi zake.
    Pia Polepole ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, kabla ya kuteuliwa na CCM, juzi, kushika wadhifa wake mpya amesema, atafanya kazi kwa weledi mkubwa  huku akiahidi kushirikiana kwa karibu na waandishi wa habari.



 
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi na Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM, Nape Nnauye (kulia), leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

 
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akimsikiliza kwa makini, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi mstaafu, Nape Nnauye alipokuwa akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

 
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, mstaafu, akifurahia jambo wakati wa makabidhiano hayo leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

 
Walipoingia ukumbini ili kufanya makabidhiano hayo. PICHA ZOTE NA B

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAPE ABIDHI RASMI UENZI, KWA HUMPHREY POLEPOLE LEO, JIJINI DAR ES SALAAM
NAPE ABIDHI RASMI UENZI, KWA HUMPHREY POLEPOLE LEO, JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg86HvrfrtEALgiAluqZq5XTr06OAMnuKEJoqeyG46lyWykquvYatlr35vqdL5aGEKa_PuItfkepQCcpdl9iKfs3dOcj0qnjOn43N3aKvbrxKc4D9nRzsgb3RE1nVTdekxZ-xZnWF9RMNod/s320/1.+BN640183.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg86HvrfrtEALgiAluqZq5XTr06OAMnuKEJoqeyG46lyWykquvYatlr35vqdL5aGEKa_PuItfkepQCcpdl9iKfs3dOcj0qnjOn43N3aKvbrxKc4D9nRzsgb3RE1nVTdekxZ-xZnWF9RMNod/s72-c/1.+BN640183.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/nape-abidhi-rasmi-uenzi-kwa-humphrey.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/nape-abidhi-rasmi-uenzi-kwa-humphrey.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy