Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Wa pili kushoto) pamoja na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni J...
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
(Wa pili kushoto) pamoja na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Salvatory Mabeyo
(Wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na ma Meja Jenerali wapya, mara baada ya kuvishwa vyeo vyao vipya Makao
Makuu JWTZ leo Upanga jijini Dar es Salaam. (PICHA
NA JWTZ)
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange akimvisha
cheo cha Meja Jenerali Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Brigedia Jenerali Michael
Isamuhyo, Makao Makuu JWTZ Upanga jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, (JWTZ), Jenerali
Davis Mwamunyange, akimvisha cheo cha Meja Jenerali, Mkuu wa Kamandi
ya Jeshi la Anga Brigedia Jenerali George William Ingram, Makao Makuu JWTZ
Upanga jijini Dar es Salaam leo.
COMMENTS