Maziko ya Mpigapicha Mpoki Bukuku yanatarajibkufanyika leo Kijijini kwao Msalato Dodoma yalipo makazi ya mamavyake ...
Maziko
ya Mpigapicha Mpoki Bukuku yanatarajibkufanyika leo Kijijini kwao
Msalato Dodoma yalipo makazi ya mamavyake nabyalipo makaburi ya Familia
likiwepo la Baba yake na kaka yake. Tayari waombolezaji wameshaanza
kuwasili na taratibu za mazishi zinaendelea.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba ya muda ya Mpoki Bukuku.
Waombolezaji wakiwa katika eneo itakapofanyika ibada ya mazishi pamoja na eneo la makaburi.
Mpigapicha Mroki Mroki akisaini kitabu cha maombolezo, Msalato Dodoma.
Mpigapicha John Bukuku nae akisaini cha maombolezo.
Mpigapicha Emmanuel Herman nae akisaini kitabu.
Mohamed Mambo, Mpigapicha nae akisaini Kitabu cha Maombolezo.
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro
Nyalandu, (wapili kushoto), na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, na Mbunge wa Dodoam mjini, Anthony Mavunde, wakwia tayari wameweka
shada la mauwa kwenye kaburi la marehemu Mpoki Bukuku kwenyemakaburi ya
familia huko Msalato, nje kidogo ua Manispaa ya Dodoma Desemba 27,
2016.
Wazzi wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburila mwanao
![]() |
Mke wa marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe |
Waombolezaji wakilishusha kaburini,
jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku "Sumo", aliyekuwa mpiga
picha mwandamizi wa kampuni ya The Guardian Limited, kwenye makaburi ya
familia huko Msalato nje kidogoya Manispaa ya mji wa Dodoma leo Desemba
27, 2016.
COMMENTS