Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein (kush...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Auai wakiwa katika Kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe
wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa
katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu
ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, chini ya mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiendesha Kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Auai.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiendesha Kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.
Baadhi
ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa kikao hicho cha siku moja Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (Picha na Ikulu.)
COMMENTS