KANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
HomeJamii

KANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI

 Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wa...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT. NZUKI AFUNGUA WARSHA YA KUKUSANYA MAONI
RC MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA HOSPITAL YA TEMEKE
KARIBU KWENYE MAOMBI YA SHUKRANI KITAIFA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM






 Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu wakati wa Ibada ya Krismasi.

 Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, Michael Mgaya akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Kuzaliwa Yesu Kristo ya Krismasi asubuhi.



 Waumini wakiomba wakati wa ibada hiyo



 Waumini wakimwimbia Yesu Kristo.



 Waumini wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu Kristo.











 Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea, Spear Patrick  (kushoto) na mkewe wakishiriki kuimba wimbo wa kuzaliwa Yesu Kristo.



 Lusekelo Mwaikenda (kushoto) ambaye ni Mtoto wa mmiliki wa Blog hii, Richard Mwaikenda akiwa miongoni mwa waumini akishiriki kuimba wimbo wakati wa Ibada ya Krismasi.



 Waumini wakiomba.





 Mwinjilisti Michael Mgaya (wa pili kushoto) akitoa neno alipokuwa akihitimisha Ibada ya Krismasi



 Waumini wakiondoka baada ya Ibada ya Krismasi kumalizika.



Mpigapicha wa kupitegemea, Spear Patrick akipiga picha na familia yake pamoja na familia ya mmiliki wa blog hii, Richard Mwaikenda baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
KANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5xEg9I0F-cw616e-Bc8xEKmf-fa_d0FgxS71d9Tp5tZ0qyJB8pYcszmPdGt0Z10nEIxC9ikYHrv1sxHbrqjoo5zbZcdy-MhNFvlvx9p4A_XokK7rbk9jh8mjamK9bHWthGhfOjMmjlU0/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5xEg9I0F-cw616e-Bc8xEKmf-fa_d0FgxS71d9Tp5tZ0qyJB8pYcszmPdGt0Z10nEIxC9ikYHrv1sxHbrqjoo5zbZcdy-MhNFvlvx9p4A_XokK7rbk9jh8mjamK9bHWthGhfOjMmjlU0/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/kanisa-la-kkkt-kivule-dar-wampa-saluti.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/kanisa-la-kkkt-kivule-dar-wampa-saluti.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy