Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Saint Nicholas Jimbo Kuu Mwanza DVN, Lazaro Manjelenga, akiwafungisha ndoa Bwana Godfrey Sinyangwe...
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Saint Nicholas Jimbo Kuu Mwanza DVN, Lazaro Manjelenga, akiwafungisha ndoa Bwana Godfrey Sinyangwe na Esther Kiluma wote wa jijini Mwanza, hii leo. Amesaidiana na Mchungaji Msaidizi wa Kanisa hilo, Joseph Samwel.
#BMG
Bwana Godfrey Sinyangwe na Esther Kiluma wakila kiapo cha ndoa.
Upendo wa dhati.
Bwana Godfrey Sinyangwe na Esther Kiluma, wakifurahia ndoa yao.
Upendo ni vitendo zaidi ya maneno.
Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma wakiwa ufukweni.
Ndoa yetu na idumu milele.
Baada ya ndoa pamoja na zoezi la kupiga picha katika ufukwe wa ziwa Victoria, shughuli usiku huu inafanyika Ukumbi wa Bugando Club.
Tunawatakia maisha mema.
COMMENTS