Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Aidan Eyakuze akiongea na Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji...

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Aidan Eyakuze akiongea na Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.
Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (kulia) akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.

Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen akiongea na washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alisema serikali kutoa huduma kwa uwazi kutasaidia kuondoa vitendo vya rushwa na uwazi.
Washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia Bw. Paul Maasen.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa wakishiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali yanayohusiana na mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze akifafanua jambo.
Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu akitoa mada kuhusu namna asasi za kiraia na ukuaji wa teknolojia unaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
(PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO-(PARIS)
COMMENTS