Mkuu wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, Daina Matemu, akimuongoza kuelekea kwenye ukumbi wa mahafali, mgeni rasmi katika ma...
Mkuu
wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, Daina Matemu, akimuongoza
kuelekea kwenye ukumbi wa mahafali, mgeni rasmi katika mahafali ya
Kidato cha Sita ya shule hiyo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities
Abroad Link, Tony Kabetha (kushoto), wakati wa mahafali hayo,
yaliofanyika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), jijini
leo. Nyuma kulia ni Mwenyekiti Kamati ya Taaluma (PTA), Ibrahim
Samatta. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com )
Kijana
wa Skauti kutoka shule hiyo, akimvisha skafu Mgeni rasmi katika
mahafali ya kidato cha sita, Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities
Abroad Link, Tony Kabetha, mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa
mahafali hayo. Anayeangalia ni Mkuu wa shule hiyo, Daina Matemu.
Mgeni
rasmi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities Abroad Link, Tony Kabetha
(wa pili kulia), akiwa na wageni mbalimbali kwenye meza kuu wakipiga
makofi mara baada ya kuasili ukumbini.
Wahitimu
wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, wakiimba
wimbo wa shule hiyo, mbele ya mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kampuni ya
Universities Abroad Link, Tony Kabetha, wakati wa mahafali yao leo
jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, Daina Matemu, akizungumza
wakati akitambulisha wageni mbalimbali kwenye meza kuu katika mahafali
hayo.
Mgeni
rasmi akiwa na wageni mbalimbali kwenye meza kuu wakimwombea mmoja wa
wanafunzi aliyefariki wakati wakiwa kidato cha tano, wahitimu hayo.
Wahitimu wa kidato cha sita wakimwombea mwenzao aliyefariki wakiwa kidato cha tano.
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, Hussein Chiumbi, akisoma taarifa ya shule hiyo katika mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wakicheza ngoma za Bongo Fleva, wakati walipokuwa wakionesha vipaji vyao.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Taaluma, Elly Mdundo, akitoa taarifa ya maendeleo ya taaluma kwa mgeni rasmi.
Baadhi ya walimu wa shule hiyo, wakiwa katika mahafali hayo.
Mhitimu wa kidato cha sita, Mansoor Mohamed akisoma risala ya wahitimu. Anayemsaidia ni mhitimu mwenzake, Hefsiba Nyangi.
Wahitimu
wa kidato cha sita, Mansoor Mohamed na Hefsiba Nyangi wakimkabidhi
risala ya wahitimu mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities
Abroad Link, Tony Kabetha.
Baadhi ya wazazi, ndugu na jamaa za wahitimu wa kidato cha sita, wakiwa katika mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wakionesha mitindo ya mavazi yaliyobuniwa na shule hiyo.
Baadhi ya wahitimu wakipita na mavazi yaliyobuniwa na shule hiyo.
Baadhi
ya wahitimu wakipita mbele ya mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kampuni ya
Universities Abroad Link, Tony Kabetha na mavazi yaliyobuniwa na shule
hiyo.
Mkuu
wa Shule ya Sekondari Chang'ombe Mazoezi, Daina Matemu, akizungumza
wakati akimkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Taaluma (PTA), Ibrahim
Samatta (kushoto), ili amkaribishe mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kampuni ya
Universities Abroad Link, Tony Kabetha (katikati), azungumze na
wahitimu hao.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Taaluma (PTA), Ibrahim Samatta, akizungumza katika
mahafali hayo, wakati akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Kampuni
ya Universities Abroad Link, Tony Kabetha (katikati), azungumze na
wahitimu hao.
Mgeni
rasmi katika mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari
Chang'mbe Mazoezi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities Abroad Link,
Tony Kabetha, akizungumza na wahitimu wakati wa mahafali hayo,
yaliofanyika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), jijini
leo. Kushoto ni Mwenyekiti Kamati ya Taaluma (PTA), Ibrahim Samatta na
kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Daina Matemu.
COMMENTS