Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linav...
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa pili
kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa
Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge
nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya
Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch. Peter Msigwa |
|
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job akipokea zawadi kutoka
Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi. (Picha na Ofisi ya Bunge) |
COMMENTS