BELLE 9 ALIVYOZINDUA WIMBO WA VIDEO YAKE MPYA WA 'GIVE IT TO ME' USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI DAR

 Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya u...











 Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya uliofahamika kwa jina la  'Give It To Me' usiku huu. Kulia ni Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Hafla hii imefanyika usiku huu katika bustani ya Nyumba ya Mbunge huyo, Kawe jijini Dar.
 Mbunge Jimbo la Chalinze na Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ridhiwani Kikwete akizungumza machache ikiwemo na kumpongeza msanii huyo,katika hafla ya uzinduzi wa Video yake ya  wimbo mpya  uliofahamika kwa jina la  'Give It To Me'  Jijini Dar es salaam leo.
 Baadhi ya Wasanii mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo wakimpongeza msanii mwenzao Belle 9 

























COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BELLE 9 ALIVYOZINDUA WIMBO WA VIDEO YAKE MPYA WA 'GIVE IT TO ME' USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI DAR
BELLE 9 ALIVYOZINDUA WIMBO WA VIDEO YAKE MPYA WA 'GIVE IT TO ME' USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI DAR
https://i.ytimg.com/vi/-vPIQAvMLBY/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/-vPIQAvMLBY/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/belle-9-alivyozindua-wimbo-wa-video.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/belle-9-alivyozindua-wimbo-wa-video.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy