Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akiongea katika uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za...
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akiongea katika uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa
kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa WiLDAF
Dkt.Judith Odunga ,Balozi wa Ireland nchini Bw.Paul Sherlock(wa tatu
kushoto), na Kamanda wa Polisi kanda maalum ACP Lucas Mkondya.
Mkurugenzi wa WiLDAF Dkt.Judith Odunga akitoa neno la ufunguzi katika uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika
leo Jijini Dar es Salaam.Kulia kwake ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu na ni Mratibu Mkazi kutoka Umoja wa Mataifa nchini Bi. Maria Karadenizli
(Picha na Daudi Manongi)
Balozi wa Ireland nchini Bw.Paul Sherlock akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.kulia kwake ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mhe.Ummy Mwalimu, Mkurugenzi wa WiLDAF Dkt.Judith Odunga, Kamanda wa
Polisi kanda maalum ACP Lucas Mkondya na Mkuu wa Dawati la Jinsia,ACP
Mary Nzoki.
Mwakilishi
kutoka Umoja wa nchi za Ulaya Bw.Roeland Van Geer akizungumza juu ya
ukatili wa kijinsia na athari zake katika uzinduzi wa kampeni ya siku 16
za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es
Salaam.Kulia kwake ni Mratibu Mkazi kutoka Umoja wa Mataifa nchini
Bi.Maria Karadenizli, Mkurugenzi wa WiLDAF Dkt.Judith Odunga, Waziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
Mwanamziki
wa Bongo Fleva nchini Bi. Mwasiti Almasi akitumbuiza wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
akiongea jambo na Balozi wa Ireland nchini Bw. Paul Sherlock mara baada
ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Waandamaji kutoka Taasisi na Asasi mbalibali wakionyesha
ujumbe mbalimbali unaopinga ukatili wa kijinsia wakati wa uzinduzi wa
kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
akisaini katika ubao wenye kauli mbiu katika uzinduzi wa kampeni ya siku
16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
COMMENTS